New Year’s Greeting 2022 from Ambassador Nabil Hajlaoui - Salamu za Mwaka Mpya 2022 kutoka kwa Balozi Nabil Hajlaoui [fr]
On behalf of All members of the French Team in Tanzania, The Ambassador of France to Tanzania H.E. Nabil HAJLAOUI, wishes to convey his New Year’s best wishes to the French community, all friends and partners of France in Tanzania, and, to all Tanzanians.
The End of 2021 was marked by improved Franco-Tanzanian relations, as demonstrated by the visit to Zanzibar and Dar-es-Salaam of Mr. Franck RIESTER, Minister Delegate for Foreign Trade and Attractiveness.
Year 2022 should be part of the continuity of this strengthened relations, with the prospect of a high-level Tanzanian government delegation visit to France, and, the realization of cooperation projects in various sectors.
The Embassy of France in Tanzania will remain mobilized to continue to strengthen the Franco-Tanzanian partnership in all areas, and, to meet the demands of the French community throughout the year.
SWAHILI:
Kwa niaba ya timu nzima ya Ubalozi wa Ufaransa nchini, Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mh. Nabil HAJLAOUI, ametoa salamu zake za kheri ya Mwaka Mpya, kwa jumuiya ya Ufaransa, marafiki na wadau wote wa Ufaransa nchini, na vile vile kwa Watanzania wote.
Mwisho wa Mwaka 2021 ulishuhudia mahusiano mazuri kati ya Ufaransa na Tanzania, ikiwa ni pamoja na ziara iliyofanywa na Mh. Franck RIESTER, Waziri wa Biashara za kigeni na uchumi huko Zanzibar na Dar-es-Salaam.
Mwaka huu wa 2022, unapaswa kuwa sehemu ya mwendelezo wa kuboresha mahusiano, matarajio ya ziara ya ujumbe wa ngazi ya juu wa Serikali ya Tanzania kwenda Ufaransa, na, utekelezaji wa miradi ya ushirikiano katika sekta mbalimbali.
Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania utaendelea kuhamasika kuendelea kuboresha ushirikiano kati ya Ufaransa na Tanzania katika nyanja zote, na, wakati huo huo kukidhi matakwa ya jamii ya Kifaransa mwaka huu mzima.